The Umoja wa Wanawake wa Asia, shirika lisilo la kimaslahi la kutetea haki za wanawake, linategemewa kusimamia ; onesho la mitindo [ja] siku ya tarehe 1 Desemba, 2013 likiwa na kauli mbiu isemayo “Mtindo wa Kukabiliana na Mfumo Kandamizi” yenye lengo la kuvuta hisia za watu katika kukabiliana na suala la matumizi ya nguvu dhidi ya wanawake. Onesho zima la mwaka jana linaweza kutazamwa hapa.
1 maoni