The Global Voices Lingua project hopes to bring GV content to new linguistic audiences - Details

Also in:

Jordan: Barua kwa MBC

Picha ndogo ya mfasiri

2009-11-14 @ 9:24 EST · Ilichapwa kwanza na Amira Al Hussaini

Imetafsiriwa na j nambiza tungaraza · Angalia ujumbe mama


Nchi:
Jordan
Mada:
Media
Lugha:
English

 

M-jordan Ola Eliwat, kutoka Cinnamon Zone, anaandika barua ya wazi kwa makapuni ya televisheni ya MBC. Katika barua hiyo anaandika: “Na tafadhali fikirieni kufunga 90% ya idhaa zenu, nadhani itakuwa hisani KUBWA kwa taifa la Kiarabu!”

Anza kutoa maoni

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Taratibu

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.