Habari kuhusu Uruguai

Uruguay yawa Nchi ya kwanza Kuhalalisha Soko la Bangi

  13 Disemba 2013

Baraza la Seneti la Urugwai lilipiga kura 16 kwa 13 kuhalalisha uzalishaji na uuzaji wa bangi.. Rais Mujica anatarajiwa kutia saini sheria, ambayo itakuwa na ufanisi kuanzia mwaka ujao. Estoy a favor de legalizar la Marihuana pero estaria bueno ser noticia en el mundo por nuestra Seguridad y Educacion —...

Tamko Kuhusu Mustakabali wa Ushirikiano katika Mtandao wa Intaneti.

  1 Novemba 2013

Wawakilishi wa mashirika yanayoratibu miundombinu ya kiufundi ya huduma ya intaneti waliokutana huko Montevideo; Uruguay, wametoa tamko kuhusu mustakabali wa ushirikiano katika masuala ya Intaneti [es], ambapo walifanya uchanganuzi kuhusiana na changamoto zinazoathiri mustakabali wa mtandao wa Intaneti. Pamoja na mambo mengine, walizungumzia umuhimu wa upatikanaji wa mtandao wa intateti...

Watu wa Uruguay Waomboleza Kifo cha Mwanamuziki José Carbajal, ‘El Sabalero’

  11 Novemba 2010

Mwimbaji na mtunzi José Carbajal, anayejulikana kwa jina la utani kama “el Sabalero,” amefariki kutokana na shambulio la moyo mnamo Oktoba 21 akiwa na umri wa miaka 66. Carbajal anachukuliwa kuwa gwiji na utambulisho wa utamaduni wa Uruguay. Mwaka huu alikuwa akifanya kazi na wasanii wengine katika mradi wa Kompyuta Moja ya Mapajani kwa Kila Mtoto nchini Uruguay Uruguay, Mpango wa Ceibal, ili kutumbuiza kwenye maonyesho kwa ajili ya watoto wa shule nchini kote.