Habari kuhusu Ufilipino

Papa Francis Kutembelea Eneo Lililokumbwa na Kimbunga cha Haiyan Nchini Ufilipino

  30 Septemba 2014

Nembo na tovuti rasmi inayohusiana na ziara ya Papa Francis nchini Ufilipino mwezi Januari 2015 tayari imezinduliwa. Papa Francis atatembelea jiji la Manila ma Tacloban. Tacloban ndiko lilikotokea janga la Kimbunga cha Haiyan kilichochukua maisha ya watu 6,000 kwenye mkoa wa Visayas Kusini. Ukiachilia mambo Timor Leste, Ufilipino ni nchi...

Maktaba ya Digitali ya Tiba Asilia Nchini Ufilipino

  22 Septemba 2014

Ikiwa imeanzishwa na mamlaka kadhaa za kiserikali, Maktaba Dijitali ya Elimu ya Tiba za Jadi Ufilipino (TKDL-Health) inalenga kuweka kumbukumbu na kufanya masuala ya tiba za jadi kuwa za kidijitali nchini humo. Jamii, ambazo nyingi ni zile za miliamni au majirani zao, zimekuwa zikitegemea miti na mazao mengine ya asili...