Huruhusiwi kumwita mwanao wa kike majina kama Eman, au Sandy, au Yara. Na kama ni mvulana, majina kama Abdelnasser, Amir au Abdulmoeen hayaruhisiwi. Lakini hiyo si Saudi Arabia pekee. Kwenye mtandao wa twita, Iyad El Baghdadi anaorodhesha majina ya watoto yaliyopigwa marufuku kabisa kwenye ufalme huo:
Orodha ya majina yaliyopigwa marufuku kwenye List of banned baby names in KSA. Includes: Abdulnasser, Amir, Maya, Linda, Sandy, Loren, Benjamin, Yara, Eman. pic.twitter.com/XHyrdT9bKQ
— Iyad El-Baghdadi (@iyad_elbaghdadi) March 12, 2014
Orodha ya majina yaliyopigwa marufuku Saudi Arabia ni pamoja na Abdulnasser, Amir, Maya, Linda, Sandy, Loren, Benjamin, Yara, Eman.
Na kuna picha muhuAnd there is a photograph of an officially stamped list to go with this notice.