Mtandao wa kutafutia habari mtandaoni nchini China uitwao Baidu umetoa orodha ya maneno yaliyotumika zaidi kusaka habari. Orodha ya maneno kumi yaliyotumika zaidi ni kama ifuatavyo:
- Hali ya Hewa
- Taobao (tovuti ya kufanyia manunuzi ya mtandaoni nchini China)
- Wu Dong Qian Kun (kitabu cha mtandaoni cha Li Hu)
- The Tang Door (kitabu cha mtandaoni)
- Mang Huang Ji (kitabu cha mtandaoni)
- Zhe Tian (kitabu cha mtandaoni)
- Double Chromosphere (Mchezo wa kamari wa Kichina)
- Baidu (!)
- Da Zhu Zai (kitabu cha mtandaoni)
- Qzone (a new mtandao wa kijamii from Tencent)
Kwa orodha kamili, fuatilia mtandao wa China Internet Watch.
1 maoni