Matatizo ya Colombia kwa Ukosefu wa Usawa Mijini

Taarifa ya utafiti wa hivi karibuni wa Umoja wa Mataifailiyoripotiwa katika El Tiempo, iligundua kwamba Colombia ilikuwa nchi ambayo iliongezeka kwa wingi wa kukosekana kwa usawa wa mijini mwake kwa miongo miwili iliyopita.Bogotá ilikuwa kanda isiyo na usawa kwa mji mkuu. Na kwa miji 13 ya Colombia iliyosomwa na Umoja wa Mataifa, kila iliongezeka ngazi yao ya kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, kulingana na utafiti.

Katika “Mtego wa Ukosefu wa Usawa”, blogu ya Mike Bogotá anachambua jinsi matokeo ya utafiti huu wa Umoja wa Mataifa inaweza kuhusiana na baadhi ya matatizo Colombia ya kijamii.

Serikali imetia msisitizo kwa wingi, vyema, juu ya ukuaji wa uchumi, wa Bogotá na kudai upungufu katika umaskini. Lakini kulingana na takwimu kutoka Umoja wa Mataifa Bogotá imeshindwa katika hatua nyingine muhimu: Usawa kwa Uchumi.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.