GV Face: Wanawake Nchi Saudi Arabia Wanuia Kuendesha

Mnamo Octoba 26, 2013 maelfu yaa wanawake wa ki-Saudi wameapa kuvunja amri ya Ufalme kuwazuia wanawake kuendesha magari.

Katika toleo la GV Face wiki hii, tunakutana na mwanablogu wa Jeddah na mwandishi  Tamador Alyami, anayeunga mkono kampeni ya #WanawakeWataendesha.

Tumezungumzia kampeni hiyo, maisha ya wanawake nchini Saudi, na jinsi wanaharakati walivyowachukulia wapinzani wa kampeni hiyo kama alivyofanya mhubiri mmoja siku za hivi karibuni aliposema, “tumegundua kuwa wale [wanawake] wanaoendesha magari wanajifungua watoto wenye vilema vya aina mbalimbali.”

GV Face inaandaliwa na Mhariri Mtendaji Solana Larsen na Mhariri Msaidizi Sahar Habib Ghazi.

Pia unaweza kusoma:

Septemba 2013 Imamu wa Saudi aeleza Sayansi mpya ya sababu ya wanawake kuzuiwa kuendesha
Sep 2013 Octoba 26: Siku ya kuvunja amri ya Saudi kuwazuia wanawake kuendesha
Octoba 2012 Saudi Arabia: Kampeni ya Wanawake Kuendesha Yapamba moto; Yalaumu sera za serikali
Novemba 2011 Saudi Arabia: Hasira dhidi ya Makofi 10 kwa dereva mwanamke
Juni 2011 Saudi Arabia: Wanawake kwenye Usukani
Mei 2011 Saudi Arabia: Wanawake Wawekwa kizuizini kwa Kuendesha
Mei 2011 Saudi Arabia: Mwanamke Apingana na sheria kwa Kuendesha mjini Jeddah

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.