Dunia Iwatetee Wanablogu Raia wa Vietnam Waliofungwa Gerezani

nguyen_hoangvi

Nguyen Hoang Vi, Mwanablogu raia wa Vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali

Suala la Nguyen Hoang Vi, Mwanablogu raia wa Vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali, ni mmoja ambaye suala lake limeibuliwa na makundi ya kutetea haki za watu wakati ambapo dunia inajiandaa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Udhalimu wa Watawala hapo kesho tarehe 23 Novemba.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.