Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki:
Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu.
> 35 000 wamejiunga. Watu zaidi wanatarajiwa kujiunga ndani ya siku chache zijazo. pic.twitter.com/1c7AOflm7h
— Frederic Jacobs (@FredericJacobs) Machi 23, 2014
Uturuki ndio kwanza imeufunga mtandao wa Twita.