· Septemba, 2010

Habari kuhusu Uganda kutoka Septemba, 2010

Africa: Waafrika Wasimulia Kumbukumbu Zao za Utotoni

  9 Septemba 2010

That African Girl ni blogu yenye mfululizo wa makala zilizoandikwa na Waafrika kutoka dunia nzima kuhusu maisha ya utotoni. Ni blogu inayoelezea kuhusu makuzi katika familia za Kiafrika na uzoefu wa kuishi katika tamaduni mbili.