· Oktoba, 2013

Habari kuhusu Tanzania kutoka Oktoba, 2013

Fuatilia SafariYaGariAfrika Mtandaoni

  7 Oktoba 2013

Kikundi cha watengenezaji na wabunifu wa teknolojia kutoka Ulaya ambao wanadadisi ukuaji wa vituo vya teknolojia barani Afrika wanaendelea na safari yao ya gari barani humu. Tazama blogu yao au Tumblr na ufuatilie mjadala kuhusu safari yao kwenye mtandao wa Twita.