Joseph Edward anazungumzia kupotea kwa ramani za mpaka wa Sudan Kusini za enzi za ukoloni: “Majadiliano yameibuka kuhusu ramani ambazo zilidaiwa kuchukuliwa na Waingereza baada ya Sudan kupata uhuru mnamo mwaka wa 1956. Huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti wanatilia shaka uwepo wa ramani hizo.
Habari mpya Kuhusu South Sudan
12 Machi 2013
20 Januari 2011
Kura ya Maoni ya Sudani Kusini 2011
Yaliyomo Habari Kusini mwa Sudan wakati Global Voices Habari zilizochaguliwa za Global Voices Rasilimali: Tovuti Twitter Facebook Videos Sudani Kusini ilianza kupiga kura ya maoni mnamo tarehe 9 Januari, 2011...




























Kiungo cha RSS kwa South Sudan 







mambo vipi wanablog muko powa wote.kama mumenisoma nijibuni.
Asante. Nimepita hapa natafuta japan na china wamemalizaje ugomvi wao kuhusu visiwa,pia chanzo cha ugomvi...