· Februari, 2015

Habari kuhusu Afrika Kusini kutoka Februari, 2015

Mapendekezo Yanapokelewa kwa Ajili ya Mwezi wa Historia Nyeupe 2015

  22 Februari 2015

Likiwa limeandaliwa na blogu ya Africa is a Country [Afrika ni Nchi], tukio la Mwezi wa Historia Nyeupe linajongea mwezi ujao: Mwezi Machi mwaka jana ndio ulikuwa mwezi wa uzinduzi wa zoezi hilo kwenye blogu hii, na bila kupuliza sana mavuvuzela yetu kw akujisifu, ule kwa hakika ulikuwa ni mwezi...