Habari kuhusu Afrika Kusini kutoka Machi, 2014
Je, Afrika Kusini ni ‘Nchi Iliyokwama'? Ndivyo Alan Dershorwitz Anavyofikiri
Mwanasheria wa Kimarekani na mchambuzi wa mambo ya kisiasa Alan Dershorwitz amewatia hasira Waafrika Kusini kwa kuielezea nchi yao kuwa ni 'nchi iliyokwama' katika mahojiano alyoyafanya na Piers Morgan.