Habari kuhusu Naijeria kutoka Juni, 2015
“Hatuwezi Kukandamiza Utu wa Wengine bila Kuukana utu Wetu Kwanza
Kosa la wanablogu wa Zone9' ati lilikuwa ni kuthubutu kuonesha dhamira yao ya kuupigania "Ubuntu". Waliihamasisha jamii yao kuachana na dhana ya ubinafsi