Habari kuhusu Naijeria kutoka Juni, 2013

Simu za Bure Kwa Wakulima wa Nigeria?

  12 Juni 2013

Wizara ya KIlimo nchini Naijeria imetangaza mpango wake wa kugawa simu za bure za kiganjani kwa wakulima wa vijijini. Mpango huu umezua mjadala mzito kwenye ulimwengu wa blogu nchini Naijeria.