Habari kuhusu Namibia kutoka Oktoba, 2009
Namibia: Kampeni ya Kukomesha Chanjo za Lazima
Kampeni ya kukomesha Chanjo kwa kulazimishwa nchini Namibia imezinduliwa: “ umoja wa Asasi za kijamii umetoa wito kwa Wanamibia wote kujiunga na kampeni ya kulaani chanjo kwa wanawake waishio na VVU bila ya ridhaa yao.