Habari kuhusu Msumbiji kutoka Juni, 2009

Msumbiji: Shambulio Dhidi Ya Mgombea Urais

  13 Juni 2009

Wanablogu wa Msumbiji wanaandika kuhusu shambulio dhidi ya mwanasiasa Daviz Simango, kwenye mji wa kaskazini wa bandari ya Nacala. Pamoja na maoni kutoka kwenye ulimwengu wa blogu, chama cha Simango pia kilitumia huduma ya Twita kuandika kuhusu shambulio hilo.