Habari kuhusu Gabon kutoka Oktoba, 2009

Gabon: Upinzani waendelea kupinga matokeo ya Uchaguzi

  12 Oktoba 2009

Wapinzani wa kisiasa wa Gabon wanaonyesha muungano wa vyama vya siasa kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwezi Agosti, ambayo yalimkabidhi urais mwana wa mtawala wa kiimla aliyepita, Omar Bongo. Wanasiasa na raia wanaikemea Ufaransa kwa kuingilia siasa za nchi hiyo.