Habari kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Oktoba, 2012

DRC Kongo: Misuguano Kati ya Kinshasa na Paris Mkutano Unapoanza

  15 Oktoba 2012

Le Potentiel anaandika kwamba [fr] tathmini ya Uvunjaji wa Haki za Binadamu nchini DRC Kongo iliyofanywa na Rais wa Ufaransa Hollande haikuchukuliwa kijuu juu na serikali ya Kongo wakati ambapo Mkutano wa nchi zizungumzazo Kifaransa ndio kwanza umeanza mjini Kinshasa, DRC. SErikali hizi mbili zinaonekana kutofautiana sana kuhusu mambo kama...