Habari kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Disemba, 2011

Dondoo za Video: Maandamano, Chaguzi, Utamaduni na GV

  31 Disemba 2011

Baadhi ya habari za kuvutia za Global Voices na video za hivi karibuni kutoka Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki na Ulaya Kati, Karibeani pamoja na Marekani ya Kusini, zimeletwa na Juliana Rincón Parra.