· Juni, 2013

Habari kuhusu Nepali kutoka Juni, 2013

Uzuri wa Mlima Everesti Nyakati za Usiku

  27 Juni 2013

Sinema fupi za Elia Saikaly zimenasa uzuri mkuu wa Mlima Everesti nyakati za usiku kwa kila sekunde. Anasimulia kwenye blogu yake uzoefu wake wa kupanda hadi kilele cha Mlima Everest kwa mara ya pili.