Habari kuhusu Bangladesh kutoka Machi, 2010
Pakistani: Vitendo vya Unyanyasaji Watoto Vyaongezeka
Msemo 'Unyanyasaji watoto' hutumika kueleza vitendo vya aina mbalimbali vilivyo jinai na vinavyofanywa dhidi ya watoto. Wanablogu wanajadili vitendo hivi vya unyanyasiaji watoto vinavyokera na vinavyozidi kuongezeka nchini Pakistani.