· Februari, 2010

Habari kuhusu Asia ya Kusini kutoka Februari, 2010

India: Ugaidi Waikumba Pune

  17 Februari 2010

Mnamo majira ya saa 1:30 jioni (Februari 13, 2010) mlipuko wa bomuuliua watu 9 na kuwajeruhi wengine 57 katika mgahawa maarufu kwa watalii uliopo katika mji wa Magharibi wa Pune, India. Hisia ziko juu huku wanablogu na watumiaji wa twita wakitoa maoni.