The Global Voices Lingua project hopes to bring GV content to new linguistic audiences - Details

Also in:

Australia Kumbukumbu za nchi

Kiungo cha RSS kwa Australia

2009-10-11

Australia: Wanawake wa Kenya wakataliwa haki ya ukimbizi

Wanawake wawili wanakabiliwa na uwezekano wa kutimuliwa kutoka Australia baada ya maombi yao ya kuomba hifadhi kukataliwa, pamoja na hatari wanayoweza kuipata ya kulazimishwa tohara ya kike ikiwa watarudishwa nyumbani.