· Oktoba, 2009

Habari kuhusu Tunisia kutoka Oktoba, 2009

Uchaguzi Tunisia: haki Bila Ya Upendeleo!!?

  27 Oktoba 2009

Rais wa Tunisia Zine Al Abidine Ben Ali ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha tano kwa asilimia 89.62 ya kura zote. Chama chake cha Democratic Constitutional Rally kilishinda viti vya bunge 161 katika viti 214. Wanablogu wa Tunisia wanatoa maoni katika makala hii.