Habari kuhusu Saudi Arabia kutoka Machi, 2014
Saudi Arabia Inadhibiti Majina ya Watoto
Huruhusiwi kumwita mwanao wa kike majina kama Eman, au Sandy, au Yara. Na kama ni mvulana, majina kama Abdelnasser, Amir au Abdulmoeen hayaruhisiwi. Lakini hiyo si Saudi Arabia pekee. Kwenye mtandao wa twita, Iyad El Baghdadi anaorodhesha majina ya watoto yaliyopigwa marufuku kabisa kwenye ufalme huo: Orodha ya majina yaliyopigwa...