· Julai, 2009

Habari kuhusu Saudi Arabia kutoka Julai, 2009

Nchi za Kiarabu: Homa ya Mafua ya Nguruwe Yaendelea

  24 Julai 2009

Homa ya mafua ya nguruwe au H1N1 bado inatawala vichwa vya habari vya magazeti katika nchi za Kiarabu kwani wagonjwa wapya wanaendelea kugunduliwa na mamlaka za afya na kutangazwa katika vyombo vya habari kila siku. Huu ni muhtasari wa yale wanayoongea wanablogu huko Bahrain, Jordan, Misri na Syria.