· Agosti, 2012

Habari kuhusu Moroko kutoka Agosti, 2012

Morocco: Wanafunzi Wadai Marekebisho kwenye Mfumo wa Elimu

  18 Agosti 2012

Mwezi Julai, kikundi cha wanafunzi wa nchini Morocco kilizindua ukurasa wa Facebook ulioitwa "Umoja wa Wanafunzi wa Morocco kwa ajili ya Mabadiliko ya Mfumo wa Elimu". Pungufu ya mwezi mmoja, kikundi hiki kilivuta uungwaji mkono mkubwa hasa kupitia mitandao ya kijamii.