· Agosti, 2010

Habari kuhusu Moroko kutoka Agosti, 2010

Moroko: Mtoto Mwanablogu Asalimia Ulimwengu

  16 Agosti 2010

Salma alianza kublogu akiwa na umri wa miaka sita ili kuwasiliana na ndugu na marafiki. Chii ya usimamizi wa wazazi wake, mwanablogu huyu mdogo wa Moroko anapendelea kuandika hadithi fupi fupi na kuielezea dunia matukio anayokumbana nayo kila siku shuleni.