Habari kuhusu Iraq kutoka Machi, 2010
Iraki: Ni Siku ya Uchaguzi Kwenye Twita
Ni siku ya uchaguzi nchini Iraki na ulimwengu wa Twita umekuwa uking’ong’a na habari mpya mpya tangu mapema asubuhi. Waandishi wa habari na wanahabari wa kijamii walijaribu kutumia Twita ili kutupasha habari kuhusu mambo yanavyotukia nchini humo.