· Julai, 2009

Habari kuhusu Iran kutoka Julai, 2009

24 Julai 2009

Kwa mujibu wa gazeti la Guardian, Jeshi Maalum la mapinduzi la Iran limesema kwa kupitia chombo cha habari cha taifa kwamba tovuti na wanablogu wote ni lazima waondoe makala zote zinazoweza ‘kusababisha hali mbaya’, la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria.