Habari kuhusu Misri kutoka Machi, 2014
Mwanamke wa Misri: “Funga Mdomo Wako Obama!”
Tazama video hii ya mwanamke wa Kimisri akimwomba Rais wa marekani Barak Obama 'kufunga mdomo wake' ambayo inasambaa mtandaoni.
Misri Yawahukumu Kifo Wafuasi 529 wa Muslim Brotherhood
Misri leo [Machi 24] imewahukumu kifo wafuasi 529 wa chama cha 529 Muslim Brotherhood kw akuhusiaka kwenye ghasia na vurugu zilizotolea Minya, kaskazini mwa Misri , mwezi Agosti mwaka jana.
Mwanablogu wa Misri Alaa Abdel Fattah Aachiwa kwa Dhamana
Furaha imeendelea kutawala wakati mwanablogu maarufu wa Misri Alaa Abdel Fattah ameachiwa kutoka jela. Kwenye twiti yake ya kwanzabaada ya kuachiliwa, mwanaharakati huyo anaapa 'kuendeleza' mapambano.
Siku 100 Gerezani Bila Mashitaka: Simulizi la Alaa Abd El Fattah
Mwanablogu mashuhuri wa Kimisri Alaa Abd El Fattah amemaliza siku yake ya 100 jela leo pasipo kufunguliwa mashitaka. Tazama video hii kufahamu kuhusu suala lake na mengine zaidi.