Habari kuhusu Misri kutoka Februari, 2014
Misri: Kupandishwa cheo kwa Sissi ni ya Hutua ya Kuelekea URais?
Kupandishwa cheo kwa Abdel Fattah El Sissi hadi kuwa Jemadari Mkuu kumezua mjadala mkubwa katika mitandao ya intaneti, ambapo watu wengi wanawaza kuwa kama ndio njia yake ya kugombea Urais.