· Oktoba, 2009

Habari kuhusu Misri kutoka Oktoba, 2009

Misri: Watawala Wa Kiimla na Wake Zao

  26 Oktoba 2009

Baada ya kuziangalia picha za mke wa Rais wa Cameroon, Mmisri Zeinobia anasema: “Sijui ni ni kiasi gani cha pesa alichotumia kwa ajili ya nywele zake na muonekano wake lakini ninafahamu kuwa watu wa Camerron wanazihitaji zaidi hizo pesa.”