· Oktoba, 2013

Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Oktoba, 2013

Yemeni: Bundi Atua Nje ya Dirisha Langu

  31 Oktoba 2013

Mwanablogu wa Yemeni, Abdulkader Alguneid amkuta bundi nje ya dirisha lake: Kupitia mtandao wa Twita, anaelezea tukio hilo ambalo ni nadra sana kutokea: بومة كبيرة خلف زجاج نافذتي، 1.30 بعد منتصف الليل. Alikuwa Bundi mkubwa, nyuma ya dirisha langu la kioo, majira ya saa 7.30 usiku, tarehe pic.twitter.com/19WjfUelQ0 — abdulkader...

Maadhimisho ya Miaka 30 ya Maandamano ya Usawa ya Wafaransa

  29 Oktoba 2013

Miaka 30 iliyopita (Oktoba 15, 1983), a maandamano ya usawa dhidi ya ubaguzi wa rangi [fr] yalianzia  Marseille  na watu 32, wengi wao wakiwa wenye asili ya Kiarabu, kwa kuomba haki ya kupiga kura na kitambulizo cha mkazi kwa miaka 10. Maandamano hayo yanayofahamika kama “Beur March” (Beur ni lahaja ya Kifaransa kwa watu wenye...

Rafiki Yangu Anateswa kwa Ku-blogu

GV Utetezi  5 Oktoba 2013

Safy ni mtu wa kawaida aliyewahi kufanya kazi kama afisa wa Teknohama mpaka aliposhuhudia rafiki yake akipigwa risasi na polisi wa kutuliza ghasia wakati wa majuma ya mwanzo ya mapinduzi. Hakuweza kuendelea kuwa "mtu wa kawaida" baada ya tukio hilo.

GV Face: Wanawake Nchi Saudi Arabia Wanuia Kuendesha

GV Face  5 Oktoba 2013

Katika toleo la GV Face wiki hii, tunakutana na mwanablogu wa Jeddah na mwandishi Tamador Alyami anayeunga mkono kampeni ya #WanawakeWataendesha, Hadeel Mohammed, Mwandishi wetu wa Saudia anayeishi Dammam na Mhariri wetu wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Amira Al Hussaini