· Mei, 2011

Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Mei, 2011

Kuwait: Nampenda Osama Bin Laden

  8 Mei 2011

Mwandishi wa makala wa Kuwait Khulood Al-Khamisametangaza mapenzi yake ya dhati kwa kiongozi wa ugaidi Osama Bin Laden, anasema kuwa anasubiri kuungana naye ahera ili aweze kutimiza ndoto yake. Kwenye Twita watu wa Kuwait wanaeleza kustushwa kwao na makala hiyo pamoja na hisia za moyoni za Al-Khamis.