· Julai, 2009

Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini kutoka Julai, 2009

  24 Julai 2009

Kwa mujibu wa gazeti la Guardian, Jeshi Maalum la mapinduzi la Iran limesema kwa kupitia chombo cha habari cha taifa kwamba tovuti na wanablogu wote ni lazima waondoe makala zote zinazoweza ‘kusababisha hali mbaya’, la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria.

Nchi za Kiarabu: Homa ya Mafua ya Nguruwe Yaendelea

  24 Julai 2009

Homa ya mafua ya nguruwe au H1N1 bado inatawala vichwa vya habari vya magazeti katika nchi za Kiarabu kwani wagonjwa wapya wanaendelea kugunduliwa na mamlaka za afya na kutangazwa katika vyombo vya habari kila siku. Huu ni muhtasari wa yale wanayoongea wanablogu huko Bahrain, Jordan, Misri na Syria.