Habari kuhusu Guatemala kutoka Novemba, 2013
Wimbi la Ukatili Dhidi ya Waandishi wa Habari Nchini Guatemala
Mwandishi wa habari wa Guatemala Carlos Alberto Orellana Chávez alipigwa risasi mnano Jumatatu Agosti 19, 2013, yeye ni mwandishi wa habari wa nne kuuawa nchini Guatemala mwaka huu. Katika makala ya maoni [es] iliyochapishwa katika gazeti la Guatemala Prensa Libre, mwandishi maalum wa ripoti ya Umoja wa Mataifa kwa ajili...
“Maendeleo kwa Akina Nani?” Wa-Guatemala Wapinga Mradi wa umeme wa Maji
“Maendeleo kwa ajili ya nani? Je, fedha zitabaki katika jamii? Hapana, inaendelea kujaza mifuko ya wengine, na tutaendelea kuishi katika umaskini. Sisi ni tunacho uliza sasa ni kwa serikali kufuta leseni zote za [madini na umeme wa maji] ambazo zimetolewa.” Katika Upside Down World, Kelsey Alford-Jones, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume...