· Mei, 2014

Habari kuhusu Cuba kutoka Mei, 2014

Sio Rahisi Ukiwa Mtu Mweusi Nchini Cuba

  7 Mei 2014

Habari mbaya kwa Wa-cuba wenye ngozi nyeusi au yenye mchanganyiko wa weusi na weupe ni kwamba hakuna taasisi huru za kisheria itawalinda kutelekezwa na serikali. Iván anaripoti kuwa watu wasio wazungu bado wanaendelea kubaguliwa nchini Cuba.