· Mei, 2015

Habari kuhusu Colombia kutoka Mei, 2015

Je, Utoaji wa Mimba Unaweza Kujadiliwa Kwenye Treni za Medellín?

Wakazi wa jiji la Medellín, Colombia, wanajiuliza kama treni inaweza kuwa eneo la kuzungumzia masuala ya utoaji mimba, kutokana na tangazo la kampeni ya #ladecisiónestuya (uamuzi ni wako) inayoendeshwa kwa mifumo mbalimbali ndani ya vyombo vya usafiri wa umma, hasa magari, kama inavyosimuliwa na mtumiaji wa twita aitwaye Jaime Andrés (@JAIM3_ANDR3S):...