· Januari, 2013

Habari kuhusu Brazil kutoka Januari, 2013

Pasipoti za Kidiplomasia kwa Viongozi wa Kidini nchini Brazil?

  23 Januari 2013

Wizara ya Mahusiano ya Kimataifa ilitoa pasipoti za kidiplomasia kwa viongozi wa kanisa la kiinjili liitwalo World Church of the Power of God, hatua ambayo imewasha majadiliano makali kuhusu dhana ya nchi kutokuwa na dini kama inavyotamkwa katika katiba ya Brazili.