Habari kuhusu Bolivia kutoka Januari, 2010
Bolivia: Mshindi wa Zamani wa Mashindano ya Urembo Atangazwa Kugombea Ugavana wa Jimbo la Beni
Bolivia Jessica Jordan kuwa mgombea wa kiti cha ugavana kwa tiketi ya Chama Cha Ujamaa (MAS) huko kwenye jimbo la Beni, ambalo kwa kawaida hudhibitiwa na upinzani.