· Juni, 2014

Habari kuhusu Ajentina kutoka Juni, 2014

Puerto Deseado, Ahera ya Pwani

  30 Juni 2014

Kwenye blogu yake Viajes y Relatos, Laura Schneider anasimulia uzoefu wake alipotembelea Puerto Deseado, mji ulioko kwenye Jimbo la Santa Cruz, Ajentina. Katika siku yake ya sita ya safari yake ya kupiga picha, alitembelea na kupiga picha za mji huo mzuri katika maeneo ya karibu: Yendo por la ruta 3,...