· Juni, 2014

Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Juni, 2014

Puerto Deseado, Ahera ya Pwani

  30 Juni 2014

Kwenye blogu yake Viajes y Relatos, Laura Schneider anasimulia uzoefu wake alipotembelea Puerto Deseado, mji ulioko kwenye Jimbo la Santa Cruz, Ajentina. Katika siku yake ya sita ya safari yake ya kupiga picha, alitembelea na kupiga picha za mji huo mzuri katika maeneo ya karibu: Yendo por la ruta 3,...

Ucheshi na Harakati Kutoka Mexico

  30 Juni 2014

JM Casanueva, mwandishi wa blogu ya SocialTIC, anapitia mwelekeo mpya wa harakati nchini Mexico kwenye blogu na kwenye mitandao ya kijamii ambayo inatumia utani kuwafikia watu wengi zaidi: El humor siempre ha sido una táctica exitosa para transmitir causas de manera empática (sí, que alguien que no seas tú o...

Uhamaji wa Watoto Wachukuliwa kuwa ni Baa la Kibinadamu

  26 Juni 2014

Kutoka Mexico, Katia D'Artigues, ambaye ni mwandishi wa blogu ya Campos Elíseos (Champs Elysées), aandika kuhusiana na watoto kulazimika kuhama wao wenyewe [es], hali inayompelekea kuiita hali hii kuwa ni “baa la kibinadamu”: Son niños que son orillados a cruzar la frontera solos. No lo hacen por aventura, sino porque...

Umuhimu wa Hisabati katika Elimu

  8 Juni 2014

Carlos Thompson wa blogu ya Chlewey anaandika [es] juu ya umuhimu wa kufundisha Hesabu nchini Colombia kutokana na nchi hiyo kufanya vibaya kwenye vipimo ya kimataifa vya ubora wa elimu [es]: Las matemáticas dan mucho más que la capacidad de contar las vueltas en una tienda; o las destrezas específicas...