Habari kuhusu Urusi kutoka Disemba, 2013
Urusi: Kupigwa Risasi Mgeni na Hisia za Wazi za Ubaguzi wa Rangi
Kitendo cha kijana mmoja kupigwa risasi Novemba 23, 2013 kwenye treni ya Moscow kimeibua mjadala mpya mtandaoni kuhusu harakati zenye msimamo mkali Urusi kubagua wahamiaji nchini humo.