Habari kuhusu Bosnia Herzegovina kutoka Aprili, 2010
Nchi za Balkani: Ufanano Baina ya Facebook na Chama cha Kikomunisti cha Yugoslavia
Filip Stojanovski anatafsiri orodha ya vitu vinavyofanan kati ya Facebook na Chama cha kikomunisti cha Yugoslavia (CPY).