· Januari, 2010

Habari kuhusu Thailand kutoka Januari, 2010

Thailand: “Tumechoshwa na Wizara ya Utamaduni”

  12 Januari 2010

Ukurasa wa wapenzi wa Facebook umezinduliwa na raia wa mtandaoni wanaokosa njia na sera za Wizara ya Utamaduni ya Thailand. Wizara hiyo imekuwa ikidhibiti sana uhamasishaji na usimamizi wa utamaduni wa asili wa Ki-Thai katika tovuti za vyombo vya habari vya kizamani na hata vile vya kisasa.