Habari kuhusu Thailand kutoka Disemba, 2009
Thailand: Waziri Mkuu wa Zamani Afariki Dunia
Samak Sundaravej — Gavana wa Zamani wa Bangkok, mwendeshaji wa kipindi cha mapishi, na Waziri Mkuu wa 25 wa Thailand amefariki dunia tarehe 24 Novemba. Soma maoni ya wanablogu na wanatwita wa Bangkok